Thursday, 14 August 2014

FURAHIA KUTEMBELEA HIFADHI YA TAIFA KITULO


 Muonekano mzuri wa safu za milima ya Livingstone

muonekano wa mbali wa bonde la usangu kupitia milima ya Livingstone 

 Maua yapatkanayo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Kitulo

 Barabara iliyokatiza ndani ya hifadhi pia inatumika na vijiji vilivyopo kando ya hifadhi kama Makete


pia ndani ya hifadhi utaona maporomoko ya mito tofauti tofauti inayovutia 



 njia inayotumika kuelekea katika moja ya maporomoko hayo,

modestor winfred mwalyego akiwa katika moja ya maporomoko ya maji.

Taswira ya kuzama kwa jua kati ya vijiji vilivyopo kando ya hifadhi

Kitulo ni hifadhi ya taifa yenye kuvutia kwa muonekano wake wa kiasili na maua mazuri ya kiasili, pia safu za milima ya Livingstone, maporomoko ya mito tofauti tofautii, muonekano mzuri wa bonde la Usangu na ziwa Nyasa
Pia hifadhi inapakana na hifadhi ya mlima Rungwe kupitia eneo linalo julikana kama korido ya Bujingijira

Karibu Tanzania, Karibu Mbeya.

0 comments:

Post a Comment

Welcome

Travel makes one modest, You see what a tiny place you occupy in the world. This page is dedicated to promote tourist attractions of MBEYA Tanzania

Ask a question

Name

Email

Question

Submit

Popular Posts