ABOUT US

Ni mtandao uliojikita/ unaojihusisha na kuelimisha, kuhamsisha na kutangaza utalii na utunzaji wa mazingira katika mkoa wa Mbeya, Mtandao huu ulianzishwa 20/05/2014

Kazi (mision)
Kutafuta, kutaarifu, kutunza na kuhamasisha uhifadhi wa vivutio vya utalii vipatiknavyo mkoa wa Mbeya.

Maono (vision)
Kukuza utalii wa ndani na nje ya mipaka ya mkoa wa Mbeya na utunzaji wa mazingira na utamaduni kwa maendeleo ya sasa na baadae.

UTAMADUNI
Kuhamasisha na kukuza tamaduni za mkoa wa Mbeya, Ili kuendeleza tamaduni katika vizazi vijavyo na kutambulisha tamaduni za watu wa Mbeya katika mikoa na nchi zingine

UTALII
Kuhamasisha ukuaji wa Utalii na utafutaji wa vivutio visivyo tambulika. Hasa kutafuta na kugundua vivutio vya asili na vitengenezwavyo ndani ya mkoa wa Mbeya . Na kuzingatia ukuaji wa utalii kupitia vivutio hivyo
MAZINGIRA
Uhamasisha utunzaji na usafi wa mazingira ya asili na yasiyo ya asili katika mkoa wa Mbeya, Ili kuongeza mvuto wa mandhali ya Jiji kwa maendeleo ya utalii, afya na shughuri zingine


KARIBU TANZANIA, KARIBU MBEYA

0 comments:

Post a Comment

Welcome

Travel makes one modest, You see what a tiny place you occupy in the world. This page is dedicated to promote tourist attractions of MBEYA Tanzania

Ask a question

Name

Email

Question

Submit

Popular Posts