Friday 4 July 2014

TASWIRA YA KUZAMA KWA JUA MAENEO YA TENENDE, KYELA.


Moja kati ya nyakati nzuri ni pale jua linapozama, ni wakati mzuri kwa sababu huweka muonekano furani katika sura ya nchi ambayo huwa ni yenye kuvutia sana. leo katika pitapita zetu tukiwa maeneo ya Tenende wilayani Kyela tukapendezwa na muonekano huu.



Karibu Tanzania, Karibu Mbeya.

0 comments:

Post a Comment

Welcome

Travel makes one modest, You see what a tiny place you occupy in the world. This page is dedicated to promote tourist attractions of MBEYA Tanzania

Ask a question

Name

Email

Question

Submit

Popular Posts