Tuesday 8 April 2014

CHAKULA CHA PAMOJA MCHANA NA MICHEZO KADHAA BEACH,


Safari yetu ilianza mnamo mida ya saa sita mchana kwa kukutana wadau wote maeneo ya ubungo Dar es salaam ili kuanza safari yetu pamoja,

Tulipofika tukakaa pamoja kwa ajili ya kupata chakula cha mchana, ambacho wengi walipendekeza tule chakula cha asili kama kuenzi busokelo MIHOGO, tunamshukuru alietuhudumia maana alituhudumia vizuri sana.
Baada ya kula ikabidi tupige picha ya pamoja kama kumbukumbu
wadau wakiwa pamoja.

Michezo kadhaa ilichezwa ikiwemo mbio fupi za majini na mchangani, ambapo mshindi alikuwa Aswile Mwakapemba,
Wadau wakiwa katika pozi tofauti za kifuraha zaidi.

katika muonekano tofauti.

Frank Kapyungu, Lusajo Mwaihabi na Musa Otete wakiwa wamefurahiiiiiii......

hivyo ndivyo ilikuwa siku yetu, kwa maelezo zaidi unaweza kulike page yetu ya facebook  BONYEZA HAPA

0 comments:

Post a Comment

Welcome

Travel makes one modest, You see what a tiny place you occupy in the world. This page is dedicated to promote tourist attractions of MBEYA Tanzania

Ask a question

Name

Email

Question

Submit

Popular Posts