Sunday 6 July 2014

TASWIRA YA KUCHOMOZA KWA JUA ITETE.

Wakati bado hakujakucha, kukiwa na kigiza kidogo.

kukiwa kumekucha kiasi.

Katika halmashauri ya Busokelo wilaya Rungwe kata ya itete kuna mahali panaitwa kina, mahala hapa huwa na soko kila alhamisi, ndipo ambapo picha hii imepigwa asubuhi ya leo na ile kwa mbali ni safu za milima ya livingstone.


Karibu Tanzania, Karibu Mbeya.

0 comments:

Post a Comment

Welcome

Travel makes one modest, You see what a tiny place you occupy in the world. This page is dedicated to promote tourist attractions of MBEYA Tanzania

Ask a question

Name

Email

Question

Submit

Popular Posts