Sunday, 20 July 2014
IFAHAMU BARABARA ILIYOJENGWA JUU ZAIDI TANZANIA.
Kibao kinachoeleza vipimo namna barabara hii iliyvo.
muonekano wa kibao ukiwa usawa wa chini kidogo kutoka usawa wa barabara.
Upande wa kushoto ni barabara maeneo ya kawetele lakini kulia ni muonekano wa muinuko ilikopita barabara.
ukiwa juu utaweza kuona muonekano wa bonde la ufa kama lionekanavyo katika picha hii.
Mahali hapa barabara ipo juu kuliko barabara zote nchini Tanzania, Eneo hili lipo barabara ya Chunya nje kidogo ya jiji la Mbeya, uwapo juu kawetele Utaweza kutizama mandhari ya Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, linalopitia maeneo ya mji wa mbeya, utaweza kuona Bonde la Usangu na maeneo kama Inyala, Chimala, Igurusi, Itamba, Msesule na kadhalika. pia Utafurahia sana kuiona reli ya Tanzania Zambia Railway (TAZARA) inavyolizunguka eneo hilo.
Karibu Tanzania, Karibu Mbeya.
Subscribe to:
Post Comments
(Atom)
Welcome
Travel makes one modest, You see what a tiny place you occupy in the
world. This page is dedicated to promote tourist attractions of MBEYA
Tanzania
Ask a question
Archive
Popular Posts
-
Tuanze kwa kuangalia nini maana ya neno ASILI? Neno asili kwa mujibu wa Massamba na wenzake (1999:3) ni jinsi kitu au jambo lilivyoto...
-
Ngosi ni ziwa la kreta (crater lake) lipatikanalo Mkoa wa Mbeya kwenye milima ya Uporoto, Wilaya ya Rungwe lipo katika nyuzi 9.008°Kusini n...
-
J ami i ku b w a ku li k o j a m i i z ot e k a t i k a w i l a y a y a M b e y a n i W a s af w a . W asaf w a h uish i ...
-
Hapa ni barabarakutoka eneo la Soweto kuelekea chuo kikuu cha TEKU na shule ya sekondari Southern Highland inayomilikiwa na Naibu Waziri w...
-
Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa Vwawa . Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 1...
-
Mkoa wa Mbeya ni moja kati ya mikoa minne (4) iliyopo katika Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mikoa mingine ni Rukwa, I...
-
Watu wa ndembo. moja kati ya wachezajia wa Ndembo akionesha umahiri wake wa kucheza kwa mashabiki wake. wapiga ngoma wa nd...
-
Kwa mbali ni Msitu wa Iganjo ambao hutumika kama sehemu ya matambiko iliyoko huko igawilo. kulia ni Muwakilishi John Chilambo, na...
-
Ni moja kati ya mimea ipatikanayo katika maeneo mbali mbali hususani katika mapori, mmea huu hutambaa kama mboga za maboga na ...
-
Ziwa Masoko/ kisiba liko mkoani mbeya katika wilaya ya Rungwe umbali wa kilomita 19 kutoka tukuyu mjini pana mwendo wa takribani daki...
0 comments:
Post a Comment